Tangazo la Masomo ya Utalii na Ukarimu 2017/18




Tangazo la Masomo ya Utalii na Ukarimu 2017/18


Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii, anawatangazia Watanzania wote nafasi za Mafunzo ya Ukarimu, Utalii na Uongozaji wa Watalii (Hospitality, Tourism and Tour Guide Operations) kwa ngazi ya Cheti na Diploma yatakayoanza mwezi wa Septemba 2017. Chuo kina Kampasi tatu, Bustani na Temeke kwa Dar es salaam na Kampasi ya Arusha


APPLY HERE

Comments

Popular posts from this blog

JOB TITLE: International Fundraising Manager

ARUSHA TECHNICAL COLLAGE ADMISSION PROGRAMS 2017/2018